Njia nyepesi ya kukonga moyo wa mwanamke pasipo gharama

Mawasiliano mazuri kati ya mke na mme ni muhimu sana kwa ajili ya ustawi wa mahusiano ya wawili wapendanao. Inasemwa kuwa kuvunjika kwa mawasiliano pekee katika mahusiano kunasababisha mifarakano au kuvunjika kwa mahusaiano kati ya mke na mme kuliko sababu nyingine. Wataalamu wa mapenzi na hisia za binadamu wanaeleza kuwa wanawake wanaguswa sana kwa maneno …

Faida zitokanazo na kufanya mapenzi pekee

Kufanya mapenzi ni jambo muhimu sana katika mahusiano. Huwakutanisha na kuwaweka pamoja wewe na mpenzi wako. Mapenzi hulifanya penzi lenu kuwa hai. Kufanya mapenzi ni kichocheo muhimu cha kuamsha hisia zenu za kimahaba. Hii ni mada kuu inayopendwa na huongelewa sana na wanaume pamoja na wanawake. Ni kitu ambacho kila mtu hukifikiria hata kama hawako …

Mambo yatakayofanya mahusiano ya mapenzi yenu yasichuje.

Mapenzi ni kitendawili lakini ukiyapatia yanaweza kuwa matamu sana. Lakini mapenzi yanahitaji kazi, unahitaji kujitahidi kuyajenga kila siku ili yasiyumbe wala kubomoka hasa ukiwa kwenye ndoa au mahusiano. Mkiwa wawili kwenye mahusiano kwa muda mrefu suala la kuchokana lipo na ni muhimu sana kuhakikisha jambo kama hili halitokei kwenye mahusiano yako kwani mkishaanza kuchokana ndio …

Jinsi ya Kumfanya MUMEO Awahi KURUDI nyumbani.

Inawezekana ukawa upo kwenye mahusiano yenye changamoto ya Mume wako kuchelewa kurudi nyumbani, Zifuatazo ni njia ambazo zinaweza kukusaidia kumrejesha mapema nyumbani. Jambo la kwanza ni vizuri ukajiuliza kama kweli upo katika ndoa sahihi, kwa kutizama chanzo cha mahusiano yenu ni kitu gani kilichowaunganisha lakini Pia ukajiuliza bila kujidanganya wewe na Mumeo mnafahamu maana halisi …

Madhara ya kutumia dawa za kuzuia mimba .

Watu wengi hasa vijana watakuwa wanafahamu dawa ambazo hutumiwa sana kuzuia ujauzito pale ambapo wapenzi wamejamiiana ndani ya siku za hatari. Dawa hizi zipo za aina nyingi ambazo zitozitaja hapa siku ya leo. Endapo wawili hawa wanakuwa hawapo tayari kupata mtoto, na wanaona kwamba siku walizojamiiana zitapelekea mwanamke huyo kutunga mimba, basi anaweza kutumia dawa …

Mbinu za kumfanya mwanamke akupende pasipo kumtongoza

Ushawahi kujikuta katika hali ambayo unashindwa kujua utaanza vipi kuongea na mwanamke? Ni mwanamke mzuri ambaye moyo wako unamtamani lakini akili yako inashindwa kutengeneza mawazo ya jinsi utakavyoanzisha stori na yeye. Unabakiwa ukimuangalia akikupita mbele yako, ama mbaya zaidi anakuja kuchukuliwa na wanaume wasiokuwa na thamani yeyote kwa maisha yake. Unabakia na majutio na mawazo …

HIZI HAPA SABABU ZA WANAUME KUTOOA

Mada hapo juu ni swali ambalo limekuwa likiulizwa na wengi katika kipindi tulichonacho. Ukweli ni kwamba kumekuwa na maswali yasiyo na majibu miongoni mwa jamii kwamba imekuwaje vijana wa kiume wamekuwa hawaoi?Kadiri siku zinavyokwenda ndivyo ambavyo idadi ya wanaume wanaoogopa kuoa inavyoongezeka. Utakuta wapenzi wanaambiana wanapendana na kuahidiana kuwa wataoana, lakini kitakachotokea baada ya hapo …

FANYA HAYA KWA MWENZA WAKO ILI KUMFIKISHA

kama huwezi kumfikisha mwanamke kileleni basi unausika katika hili somo!!!!…W engi wakitaka kujua ni namna gani ya kumfikisha mwanamke kileleni kwa kuzani hawana nguvu za kuhimiri kufanya tendo kwa muda mrefu bila kufikiri kuwa kumuandaa mwanamke kabla ya tendo kunaweza kukusaidia katika kumridhisha. Wanaume wengi huwa hawana maandalizi mazuri kwa wanawake wao kabla ya tendo …

Sababu za mwanamke kukosahamu ya tendo la kuhondomola

Tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa mwanamme linaweza kusababishwa na vitu vingi sana. Sababu hizo zinaweza kuwa za kimaumbile au kisaikolojia au za mchanganyiko wa vitu hivyo viwili. Hebu tuone baadhi ya vyanzo vya tatizo hili. Mahusiano Baina Ya Mwanamme Na Mwanamke Matatizo ya mahusiano kati ya mwanamme na mwanamke yana …

Kuna kitu kinanishangaza sana, siku hizi wanaume wengi wamekuwa wakifurika kwa wataalam wa madawa ya asili kwa ajili ya kuweza kudumisha uwezo wao wa kitandani. Inadaiwa kuwa wanaume hao wakienda raundi moja hawawezi kurudia ile ya pili na hata wenye uwezo wa kurudia huwachukuwa muda mrefu sana, kama raundi ya kwanza iliisha saa tano usiku …

Design a site like this with WordPress.com
Get started