Mambo Yatakayomfanya Mwanamke Asitoke nje ya Ndoa.

Mapenzi yana kanuni zake, kanuni ambazo usipozifuata huwezi kupata furaha uliyotarajia. Unapotokea kumpenda mtu, hiyo ni hatua ya kwanza lakini omba sana upate ile bahati ya kumpenda mtu ambaye naye anakupenda kwa dhati.  Kwa bahati mbaya ukitokea kumzimikia mtu ambaye wala hana hata chembe za penzi kwako, utaumia sana na kama utalazimisha kuwa naye, utakuwa …

Mambo yatakayomfanya mpenzi wako asikuache kamwe

Upendo ni kitu ambacho hakizuiliki. Napale patakaposhikilia ule upendo ipasavyo ndo husikii wala huoni utakaloambiwa juu ya akupendaye. Matendo mbalimbali yanayofanywa na wale wapenzi moja kwa moja huchochea upendo wa moyoni ambao hudumu milele, ndio hapo utasikia keshapewa madawa, mara mke wake kamkalia kila atakachoomba lazima apewe na mengine mengi ambayo umekumbana nayo au kuyashuhudia …

Jinsi ya kuamsha mahusiano ya kimapenzi yanayotaka kufa,

Hizi hapa njia za kuamsha na kudumisha uhusiano mzuri kati yako na mpenzi wako hasa baada ya kuwa mmeshazoeana sana na kuhisi kuchokana. Dumisha faragha katika mahusiano yenuHakikisha kunakua na faragha katika mahusiano yako na mpenzi wako. Vile vile hakikisha kuwa wewe na mpenzi wako mnakuwa na wakati wa kutosha kustarehe bila wasiwasi. Usiruhusu siri …

Hatua 10 Muhimi za Kumchagua Mchumba Mtakae Funga Ndoa.

Wengi wamejikuta wakiitwa wahuni kutokana na kuwa na uhusiano wa kimapenzi na makundi ya wanaume au wanawake. Hata hivyo wachunguzi wa masuala ya mapenzi wanasema idadi kubwa ya wapenzi si kigezo sahihi cha kupima tabia ya mtu na kumhusisha na uhuni. Watalaam hao wanataja safari ya kupata chaguo halisi la mwanaume/mwanamke wa maisha ndiyo inayowaponza …

Fahamu Tabia za WANAWAKE Wanaopenda Sana Pesa.

1. Huwa na tamaa ya mambo yasiyo ya lazima.Wanawake wengi wapendao pesa huwa na tamaa ya mambo yasiyo ya lazima, mambo ambayo hayagusi maisha moja kwa moja. Hata nilipokuwa chuo wanawake wengi waliokuwa wanapenda pesa Sana walikuwa na tamaa za kusikitisha ambazo zilipofusha fahamu zao. Unakuta mwanamke anaomba laki tano kwaajili tuu ya kununua Simu …

Sababu za wanaume wengi kuchepuka katika mahusiano.

Leo nimeamua kuja na sababu zinazotokana na tafiti za wanaume kutokuwa waaminifu kwenye mahusiano na ndoa. Ikumbukwe kwamba sababu za wanawake kutokuwa waaminifu hazifanani moja kwa moja na sababu za wanaume, na hata kitendo chakutokuwa mwaminifu kwenye ndoa kwa mume au mke pia huathiri ndoa husika katika uzito tofauti. Hii ni kutokana na sababu za …

Jinsi ya Kumfanya MUMEO Awahi KURUDI nyumbani.

Inawezekana ukawa upo kwenye mahusiano yenye changamoto ya Mume wako kuchelewa kurudi nyumbani, Zifuatazo ni njia ambazo zinaweza kukusaidia kumrejesha mapema nyumbani. Jambo la kwanza ni vizuri ukajiuliza kama kweli upo katika ndoa sahihi, kwa kutizama chanzo cha mahusiano yenu ni kitu gani kilichowaunganisha lakini Pia ukajiuliza bila kujidanganya wewe na Mumeo mnafahamu maana halisi …

NJIA YA KUMTONGOZA MWANAMKE AWE MPENZI WAKO .

Kuna baadhi ya wanaume hawajui jinsi ya kuzungumza na mwanamke au msichana. Kwa njia hii wanaume wengi wanaishi maisha ya bila kumvutia mwanamke yeyote. Hapa kuna njia 10 utakazozitumia wewe mwanaume ili kuhakikisha humkwazi mwanamke unayempenda mnapokuwa katika mazungumzo nae… 1. Wakati ukizungumza nae, jaribu kuzungumzia “hisia” kama vile kumbu kumbu yako ya utotoni, matarajio …

MAMBO 5 YA KUZINGATIA SIKU YA KWANZA KUONANA NA MPENZI WAKO

NI dhahiri kwamba mapenzi ni maisha na vita yake haijawahi kumuacha mtu salama, uwe mwanajeshi, mbunge, kinyozi, au hatakomando bado tu utaingia katika ulimwengu wa huba. Unaweza kukutana na mpenzi mahali popote pale, iwe kwenyenyumba za ibada, sokoni, barabarani, kwenye magari, makazini,vyuoni na kama mtalisimamia vyema penzi lenu basi ni rahisi kuifikia hatua ya ndoa. Baada ya siku ile ya kwanza mliyokutana ambayo haikuwa rasmi, mkabadilishana mawasiliano na mkaanza kuchati na kupigiana …

Mwanamke Ukiona Unatongozwa na Kila Mwanaume Ujue wewe ni….

Kuna wanawake kadhaa huwa wanafurahia sana kuwa wao kila wanapopita wanaume wanawatongoza. wanaongea kwa majidai sana na furaha kama vile ni jambo la kujivunia. Ukweli ni kuwa mwanamke ukiona unatongozwa kila sehemu na kila mwanaume ujue wewe ni kimeo sana. sana yaani kila mtu anaona kuwa ana uwezo wa kukupata. unakuwa kama vile daladala au …

Design a site like this with WordPress.com
Get started